Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani
Wamepigiwa hizo hizo nne kwenye penati
 
Haaaaa hawa jamaaaa daaa wanaunusa mpira wanafkri ni karafuuu,ila m nawaombea washinde
 
Kumbe Samia kaja na yakwake Dodoma?

Au anapeperusha ile anayopeperusha shein?

Ama anapeperusha ile kama ya pombe?
Acha kuropoka mkuu...weka akiba ya maneno na tumia akili yako kuchambua mambo...usiamini kila ulilofundishwa au kuambiwa...angalia hio picha hapo juu.
 
We jibu



Swali acha siasa

Samia anapeperusha ipi?
Unataka kujibiwa wakati wewe hujibu...
Lazima tujitofautishe na wana Facebook..kumbuka "we are great thinkers"
Back to question. "baada ya kuiangalia hio picha umeona nini na nini"?
 
Twende taratibu.
Hio picha ni ya bendera ya wapi!?


Ukiambiwa Tanganyika wajinga unabisha

Ulibeba bendera gani natimu yako ulipokuwa kenya?

Wazanzibar walibeba yao....wewe ulibeba ipi

TANZANIA = Tanganyika + zanzibar......ndio uliyobeba ya wote

Be smart and think big
 
Unataka kujibiwa wakati wewe hujibu...
Lazima tujitofautishe na wana Facebook..kumbuka "we are great thinkers"
Back to question. "baada ya kuiangalia hio picha umeona nini na nini"?

Pili ulipokuwa kenya uliimba wimbo gani

Mungu ibariki TANZANIA.... Wa wote

Wenzio Zanzibar hero's waliimba wimbo wa kwao wa taifa very unique na wewe?

Think big
 
Ukiambiwa Tanganyika wajinga unabisha

Ulibeba bendera gani natimu yako ulipokuwa kenya?

Wazanzibar walibeba yao....wewe ulibeba ipi

TANZANIA = Tanganyika + zanzibar......ndio uliyobeba ya wote

Be smart and think big
Hahahahah..nilijua tu akili yako fupi kiasi hiki...
Mnajidanganya sana kwamba Ile ni bendera ya wote eeh...
Ngoja nikufafanulie bwege wewe ukawaambie na wenzako.
Ni hivi
Ukiiangalia bendera yenu...pembeni kushoto juu kuna bendera ya taifa la pili mliloungana nalo, je umeliona hilo..!?
Limewahi kukupa shida ukafukiria na kile unachoambiwa...!?
Hiyo unayoiita Tanganyika ndio Tanzania Kwa taarifa yako...nakuhakikishia hata baada ya kuvunjika muungano usitegemee bendera au jina la Tanzania litabadirika.
Anaewaambia mmeungana na tanganyika anawapa taarifa zisizo sahii..sahihi ni Kua mmeungana na Tanzania..
 
Nasubiria hoja nyingine ya msingi...
Kuhusu wimbo,
Tunaimba wimbo wetu.."Mungu ibariki" kama ambavyo nyinyi mnaimba wenu.
Hahahahahaha najua nakupa nondo ambazo hampendi kukubaliana nazo.
Samahani lakini
 

Sikujuwa uko primitive wa kiwango hiki.
 
Nasubiria hoja nyingine ya msingi...
Kuhusu wimbo,
Tunaimba wimbo wetu.."Mungu ibariki" kama ambavyo nyinyi mnaimba wenu.
Hahahahahaha najua nakupa nondo ambazo hampendi kukubaliana nazo.
Samahani lakini

Yaani kwa ujinga huo uliyoandika
Good evening.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…