Zanzibar hero atapigwa 4 hii Leo

Sikujuwa uko primitive wa kiwango hiki.
No brother...nipo kuzungumzia fact...
Japo wengi wetu tunajifanya hatulioni hili..
Tanganyika ni Tanzania kaka niamini na kahoji Kwa watu wenye kuchambua mambo Kwa kina watakuambia...
 
Ondoka na hii..
Kama Tanzania ni kweli nchi ya Muungano, kwanini Zanzibar inafanya yake tu na cha ajabu yanayoitwa ya muungano yanafanywa na wa upande wa pili pekee...?
Wabillah tawfiq.
 
Kupigwa ni kupigwa tu, iwe Kwa taabu au la
Usisahau kujichungulia nyuma kwako kumepita mikono 2 wakat tofaut
Ni ngumu kunielewa namaanisha ivi
Umetawazwa na wala urojo waka malizia wa Kenya so fainal ile ilikua ya wakubwa zako ulipaswa kunyamaza
But im so sorry
 
Usisahau kujichungulia nyuma kwako kumepita mikono 2 wakat tofaut
Ni ngumu kunielewa namaanisha ivi
Umetawazwa na wala urojo waka malizia wa Kenya so fainal ile ilikua ya wakubwa zako ulipaswa kunyamaza
But im so sorry
Kwa ulivyo mjinga nawe ukajaribu mchezo wa kutawazwa....!?
Kibaya zaidi ukanogewa, utamu ulivyozidi ukaanza kulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…