figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Waacheni Saudi Arabia wanabadilika Kwa kasi sanaZanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza.
MY TAKE;
Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
Unafki upo dini zote ,pinga mambo ya Mungu hapa , utapewa mistari na biblia na maneno mazuri ila hilo jitu unalikuta kesho kwenye nyuzi za kulana kimasiharaUislamu una unafiki sana, kwamba miezi yote pombe ni ruksa ila kwenye Ramadan Sio ruksa 😂
N kweli ila Uislamu umezidi unafiki hasa kila ifikapo RamadhaniUnafki upo dini zote ,pinga mambo ya Mungu hapa , utapewa mistari na biblia na maneno mazuri ila hilo jitu unalikuta kesho kwenye nyuzi za kulana kimasihara
Ni wapumbavu. No time is good time for sinning. Hata hivyo, suala la dhambi ambazo hazijatungiwa sheria za kidunia ni la mtu na Mungu wake—it’s none of government’s business!Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza.
MY TAKE;
Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
Siku ukikaa na walokole ndio utajua maana ya unafki ni niniN kweli ila Uislamu umezidi unafiki hasa kila ifikapo Ramadhani
Si mchezoImepiga marufuku leo au???
Mbona bado siku chache tu
Hamna uislam huko wanaigiza tu siku hizi, siasa ni nyoko
Baada ya mwezi mtukufu itaruhusiwa?Zanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza.
MY TAKE;
Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?
siku hizi zanzibar inajifanyia mambo yake kimyume na muungano unavyotaka na hakuna wa kuikemea. Udini umezidi sana zanzibar, imekuwa nchi ya kiislam totallyZanzibar imepiga marufuku uuzaji pombe Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wote watakaobainika kuuza.
MY TAKE;
Je, Zanzibar ni Mikoa wa Kiislam? Au washajiunga Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kwa siri?