Zanzibar inafaa kuwa Makao Makuu ya Nchi

Zanzibar inafaa kuwa Makao Makuu ya Nchi

Afya ya akili ni tatizo kubwa kwa sasa, kapime mkuu.
 
Kutokana na mazingira na historia ya Zanzibar. Inastahili kuwa Makao Makuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Unataka Zanzibar iwe makao makuu ya Jamhuri ya Muungano huu huu wa kinyonyaji, wa changu changu, chako changu!! Au kuna muungano mwingine?
 
Kutokana na mazingira na historia ya Zanzibar. Inastahili kuwa Makao Makuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
'Utumwa' ni ugonjwa mbaya sana, nimegundua watu ambao wazazi wao waliwahi kuwa 'WATUMWA' Zanzibar, na baada ya kuachiwa huru, kukimbilia huku Tanganyika, huwa hawaachi kuleta leta mada zinazohusu huko!
 
  • Thanks
Reactions: apk
Air Tanzania anzisheni route ya Zanzibar - Dodoma
 
Unguja na Pemba ni wilaya ndani ya mkoa wa Zanzibar ndani ya nchi ya Tanzania.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom