Zanzibar Independence day 10 December

dos.2020,
Sasa tangu lini sisi ASP tukateseka...
Tulimfukuza mwarabu sababu kwao ni oman na sio kwetu...
Hizbu mnaumia kweli
 
hii siku wana CCM na washirika wao wanaikwepa sana.

Happy Independence Day !!!

View attachment 2838655
Haaiogopi, wanailani. Ndiyo siku Mkoloni alipotaka kukamilisha biashara ya utuma. kunawa mikono kutukabidhi utumwani. Hata mwezi haukupita Mashujaa wakapindua. Nasikia CHADEMA wanasema tusherehekee Tanganyika tar 9 Des na Zanzobar 10 Des kumkumbuka Sultani na Shamte.
 

Unasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…