Kila kitu kinaweza kuwa sahihi kwa yule anayekitaka ila kila kitu kina kikao na sahihi kwa kufuata taratibu na sheriaSasa kulinda kura kosa? Kuingia barabarani kosa? Kueleweka jambo ni kosa? kama ni makosa basi kwenye katiba yapo, labda utuoneshe wapi imesema ivo? Kwanini aseme atalinda amani tu lakini asilinde haki?
Wazanzibari tunataka tugawane fito, Mzee Karume alitwambia Koti likikubana ulivue tu.
Hayo maneno ni hatari zaidi, hususani katika nchi inayodai ni ya mfumo wa vyama vingi.Hivi wale wanaosema hadharani msipo nichagua sitaleta maji, barabara na maendeleo mengine hivyo siyo vitisho kweli?
Kwa hivyo haki yake inajumuisha kusema uongo ili mradi tuu umpe mtaji wa kuchaguliwa? Watanzania hatuwezi kumkubali TAL ambaye lengo lake ni kutugawa na kuleta vurugu kwa amri za rafiki zake Amsterdam, Trippi, Smith, nk. Hao ndiyo wamemuamuru aende Kibaha eti kuzungumza na wafanya biashara. Kufanya hivyo ni wazi kuwa ni kampeni. Ukiishakuwa Mgombea urais popote unapopita ni kampeni hususan ukienda kwenye soko.Mgombea mtawala ana nafasi kuelezea mazuri aliyoyafanya na atakayo yafanya akichaguliwa tena. Mgombea mpya anahaki kuwakumbusha wapiga kura mabaya waliofanyiwa na utawala uliopo, ahadi hewa ambazo hazikutekezwa na yapo mapya atakayo tekeleza akichaguliwa. Kumzuia ni uonevu na kuwanyima wananchi haki ya kupima.
Alafu mkuu hawa watu ni waajabu sana yaani kwenye hayo matamshi yao wanavyo sema vyama vya siasa wao wanamaanisha vile vya upinzani tena kile ambacho kinaonekana tishio ndo viongozi wake wananyooshewa vidole kila wanapotoa tamko.Hayo maneno ni hatari zaidi, hususani katika nchi inayodai ni ya mfumo wa vyama vingi...
Jiwe hapendwi na Watanzani walio wengi mpaka wale walio karibu yake pia wanamnafikia tu, tarehe 28 October atashangazwa na mengi. Binafasi na watu wa mtaani kwangu hakuna hata mmoja anayemkubali. Wana kamsemo kao, kula kwa ccm lakini kura kwa Mh Lissu na chademaKwa hivyo haki yake inajumuisha kusema uongo ili mradi tuu umpe mtaji wa kuchaguliwa?????? Watanzania hatuwezi kumkubali TAL ambaye lengo lake ni kutugawa na kuleta vurugu kwa amri za rafiki zake Amsterdam, Trippi, Smith, nk. Hao ndiyo wamemuamuru aende Kibaha eti kuzungumza na wafanya biashara. Kufanya hivyo ni wazi kuwa ni kampeni. Ukiishakuwa Mgombea urais popote unapopita ni kampeni hususan ukienda kwenye soko. Subiri TAL dawa ikuingie ili baada ya siku saba labda utaacha kusema uongo na mimi nakuombea kwa Mola ujikite katika masuala ya nini tukikuchagua utatufanyia. Achana na njama za kuleta vurugu maana wewe utaenda Belgium, sisi jee?? Hawa jamaa , Amsterdam, Smith, Trippi siyo ndugu zako. Sisi ndiyo ndugu zako na tunatamani amani na maendeleo yatakayoletwa na miundombinu ya reli, barabara, SGR, Umeme wa Stieglers Gorge, nk. Wewe subiri tuu jinsi gani Mungu wetu anavyotupenda atakavyotuvusha katika daraja hili la Mabeberu. Kumbuka ya Corona19.
Mkuu kumbuka mbunge au diwani ni wawakilishi wa wananchi kwenye ngazi za maamuzi.Mkuu, mbona unakuwa mgumu kuelewa!? Mbona mgombea aliyesema hayo yupo wazi kabizsa kwenye maelezo yake!? Sasa asipochaguliwa atatekelezaje ilani yake ya UCHAGUZI ambayo inamuelekeza apeleke maji, barabara na maendeleo mengine!? Maana vyama vingine havina mpango wa kufanya hayo kama vitachaguliwa. Huyo, Mgombea anapenda ukweli na hataki kudhihaki watu kwa ahadi zisizo na manufaa!!!
Unaponyimwa kikako na sahih (haki) unatakiwa ufanye nini? Useme hewala bwana?Kila kitu kinaweza kuwa sahihi kwa yule anayekitaka ila kila kitu kina kikao na sahihi kwa kufuata taratibu na sheria
Washauri wafuate sheria na taratibu waone kama watanyimwa na sio waingie kugawana mbaoUnaponyimwa kikako na sahih (haki) unatakiwa ufanye nini? Useme hewala bwana?
na kama hazifuatwi sheria na taratibu? Mbona wanahubiri Amani lakini hawahubiri HAKI? Kugawana Mbao ni haki ya mmiliki wa mbaoWashauri wafuate sheria na taratibu waone kama watanyimwa na sio waingie kugawana mbao
Penye amani haki ipona kama hazifuatwi sheria na taratibu? Mbona wanahubiri Amani lakini hawahubiri HAKI? Kugawana Mbao ni haki ya mmiliki wa mbao
Hajawatisha amewaambia ukweli, wanachagua watu wasiowakilisha mahitaji wananchi wao sababu ya kukimbia vikao vya bunge na mabarazaHuyo anayewatisha watu wasipomchagua hatofanya wajibu wa serikali kwa watu hao huyo ndiye mvunjifu wa amani mkubwa hastahili na hafai kabisa kuongoza watu Tanzania hii labda akajaribu Rwanda au Burundi
kati ya wanaotaka kulinda kura zao na wanaotaka kuiba kura mhalifu ni nani?Kuelekea Oktoba 28, Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi-Kamisheni ya Zanzibar, CP Mohamed Haji Hassan ameonya kuhusu uvunjifu wa amani visiwani humo
Amesema, "Baadhi ya Wagombea wa Vyama vya Siasa wamesikika wakitamka maneno kama vile 'wataingia barabarani', 'watalinda kura', 'mwaka huu lazima kieleweka'. Jeshi la Polisi linaona matamshi haya ni maandalizi ya uvunjifu wa amani"
Ameongeza kuwa, kwasababu matamshi hayo yanakiuka kanuni na miongozo ya Uchaguzi Mkuuu iliyotolewa na ZEC pamoja na NEC, Jeshi kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi litachukua hatua kali kuhakikisha amani ya nchi inalindwa.
Msikilize hapa:
Hizo kauli zinanikumbusha Mzee NGUNGURI alivyokuwa akipambana na Ngangari enzi hizoo... mwisho wa siku akatia nia baada ya kutumika na kustaafu WAKAMTOSA!Hebu thibitisha pasi na shaka kuwa neno kugawana fito lina ashiria uchochezi na kuvuruga uchaguzi au democracy ya kuchagua na kuchaguliwa.
Acheni hizo mambo. Badala ya hivyo vyombo kuhimiza watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura. Wao wamegeuka kuwa mawakala wa wanasiasa. Ni watu wa hovyo kabisa.
Usiaminishe dunia kuwa wote wana bongo nusu kama wewe usieweza kutofautisha uwongo na ukweli. Kama unashindwa kubaini uwongo wa tawala hii hufai kuishi.Kwa hivyo haki yake inajumuisha kusema uongo ili mradi tuu umpe mtaji wa kuchaguliwa? Watanzania hatuwezi kumkubali TAL ambaye lengo lake ni kutugawa na kuleta vurugu kwa amri za rafiki zake Amsterdam, Trippi, Smith, nk. Hao ndiyo wamemuamuru aende Kibaha eti kuzungumza na wafanya biashara. Kufanya hivyo ni wazi kuwa ni kampeni. Ukiishakuwa Mgombea urais popote unapopita ni kampeni hususan ukienda kwenye soko.
Subiri TAL dawa ikuingie ili baada ya siku saba labda utaacha kusema uongo na mimi nakuombea kwa Mola ujikite katika masuala ya nini tukikuchagua utatufanyia. Achana na njama za kuleta vurugu maana wewe utaenda Belgium, sisi jee?? Hawa jamaa , Amsterdam, Smith, Trippi siyo ndugu zako.
Sisi ndiyo ndugu zako na tunatamani amani na maendeleo yatakayoletwa na miundombinu ya reli, barabara, SGR, Umeme wa Stieglers Gorge, nk. Wewe subiri tuu jinsi gani Mungu wetu anavyotupenda atakavyotuvusha katika daraja hili la Mabeberu. Kumbuka ya Corona19.
Pasipokuwa na Haki hakuna Amani.Penye amani haki ipo
Haya nenda kaanze kugawana mbao๐๐๐