Zanzibar: Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Labaini uwepo wa vyeti fake Mjini magharibi pamoja na mihuri.
Jeshi hilo limebaini sehemu ambapo vyeti fake pamoja na mihuri imebainika, vyeti hivyo na mihuri ni pamoja na Vyeti vya shule (msingi, sekondari na vyuo), vyeti vya ndoa, vyeti vya kugushi vya UVIKO3, vyeti vya kuzaliwa, mihuri ya moto na vyeti mbalimbali.
Jeshi hilo limebaini hayo kwa sababu nafasi zilizo tolewa kujiunga na jeshi zilifanya jeshi hilo kupelekea jeshi hilo kufanya uchunguzi na kubaini uwepo wa vyeti hivyo