Zanzibar kuanza kuchimba mafuta na gesi ndani ya Mwezi mmoja wa ACT wazalendo.

Zanzibar kuanza kuchimba mafuta na gesi ndani ya Mwezi mmoja wa ACT wazalendo.

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ni mkakati wa ACT wazalendo chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamadi na timu yake ya ushindi,amesema hilo halina ubishi wala mjadala ni mazungumzo yalioasisiwa na utekelezaji wake upo mezani.
Jambo ambalo limeshindwa kutekelezwa na Chama Cha Mapepari(CCM) kwa muda wa miaka 55,mapepari ambao wanajengeana nyumba za kifahari na kugaiana ardhi ya waTanzania bila kuona aibu wala haya.
Mbali ya bandari kuu Afrika ya mashariki ameahidi wananchi wategemee Zanzibar kuanza rasmi uvutaji wa gesi na mafuta kwani visiwa hivyo vinaelea katika utajiri huo unaoikamata dunia.
 
Sasa wao act wana kampuni ready na washafanya tafiti wamemaliza?
 
Sasa wao act wana kampuni ready na washafanya tafiti wamemaliza?

Ni kisa kirefu ndugu ila hayo ni maneno kutoka kinywani kwa Maalim Seif Sharif Hamadi.mikataba ipo tayari na kampuni kuu ya kazi hizo ya Shell,na wanaofuatilia siasa za Tanzania wanajua sababu ya mikataba hiyo kuwa pending,lakini ipo mezani.
 
Ni kiasi ya kupata kiongozi anaejiamini kama Maalim Seif Sharif Hamad na Tundu Lisu watu wanaojiamini kiuhakika na wasioogopa kutetea uzalendo wao na kuwatetea wananchi wanaowaongoza na sio wanaowatala,CCM wanatutawala hawatuongozi.
 
Sasa haya makubaliano kabla hata hujakua raisi ndo happy tunaposema umekula ela ya mabeberu....ukishindwa utawarudishia nn
 
Tuichague Ccm

Vyama vya upinzani tusivichague vitaleta vita
Ndio kama watu wanavyochagua mchele na pumba wanaichagua CCM na kuitupa pembeni na kubakia viongozi wanaohitajiwa na wananchi.
CCM ni pumba hivyo mwaka huu watu wanachagua kwa ustadi siku hizi mnasema uweledi mkubwa.
 
Ccm ni chama cha amani na maendeleo

Vyama vya upinzani havifai kwani vitaleta vita
Ndio kama watu wanavyochagua mchele na pumba wanaichagua CCM na kuitupa pembeni na kubakia viongozi wanaohitajiwa na wananchi.
CCM ni pumba hivyo mwaka huu watu wanachagua kwa ustadi siku hizi mnasema uweledi mkubwa.
 
Kumbe Tanzania tuna mafuta basi mabeberu hayata tuacha salama mwaka huu.
 
Back
Top Bottom