Zanzibar kucheza na Uganda nusu fainali

Zanzibar kucheza na Uganda nusu fainali

bitekutecha

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
15
Reaction score
6
Wakuu nimearifiwa kuwa Zanzibar heroes huenda wakapangiwa Uganda nusu fainali ya kombe la chalenji baada ya kuonyesha kiwango kizuri.
 
Hatuna wasi wasi na zanzibar heroes juu ya Uganda naamini tunawapiga japo kwa matuta
 
Zanzibar/Barca ya east afrika katika ubora wenu pigeni hao kama mlivyowabamiza taifa stars....tena nyingi. 😀


My prediction:

Znz 3-1 Ugd...kila la heri znz!!
 
mshindi wa kwanza anacheza na mshindi wa pili wa kundi jingine wala sio maswala ya kiwango bora
 
Back
Top Bottom