Hata kwa upande wa ardhi ipo hivyo. Mtanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar lakini Mzanzibari anaruhusiwa kumiliki ardhi Tanganyika.Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.
Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
Sasa wewe hujui kwamba Zanzibar ni nchi yenye mamlaka kamili ?Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.
Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
huu ni upumbavu usiokubalika kabisa,huku kwetu wapemba wanaendesha magari free tu na mpaka sasa ivi wana mitaa yao kabisa.Sasa wewe hujui kwamba Zanzibar ni nchi yenye mamlaka kamili ?
Vipi kuhusu Wazanzibari kuendesha gari Bara? Tafadhali fanya utafiti kidogo.Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.
Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?
Mkuu huku Bara ukiwa na leseni iliyotolewa Zanzibar pia huruhusiwi kuendesha gari. Sio hiyo tu, plate number ya Zanzibar pia haitambuliki Bara. Tusemeni kweliKuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case.
Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu gani ?