Masangutu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 751
- 559
Habari za muda huu wadau wa JF,nilikuwa naisikia Zanzibar tu, ila Kuna jambo nimeliona limenishangaza.Zanzibar nyama ya ng'ombe ni ghali kuliko kuku.Yani hata kwenye vibanda vya chips ni rahisi kupata mishkaki ya kuku kuliko ng'ombe.Kuku mzima perdu sh.5500 wakati kilo ya nyama ya ng'ombe ni 8000 hadi 10000.Sijui Hawa kuku wanaagiza kutoka nchi gani!!?.Hata maisha kiujumla Zanzibar yana unaunafuu mkubwa ila kwa upande wa miundo mbinu bado.All in all vifaa vya umeme Bei sawa na bure,nimeulizia TV flat HD Nch 42 sh.350000!!used,hizo friji ndio tele hazina hata mnunuzi.Gari Hadi million 2 unapata.