Zanzibar kuku ni rahisi kuliko nyama ya ng'ombe

Masangutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
751
Reaction score
559
Habari za muda huu wadau wa JF,nilikuwa naisikia Zanzibar tu, ila Kuna jambo nimeliona limenishangaza.Zanzibar nyama ya ng'ombe ni ghali kuliko kuku.Yani hata kwenye vibanda vya chips ni rahisi kupata mishkaki ya kuku kuliko ng'ombe.Kuku mzima perdu sh.5500 wakati kilo ya nyama ya ng'ombe ni 8000 hadi 10000.Sijui Hawa kuku wanaagiza kutoka nchi gani!!?.Hata maisha kiujumla Zanzibar yana unaunafuu mkubwa ila kwa upande wa miundo mbinu bado.All in all vifaa vya umeme Bei sawa na bure,nimeulizia TV flat HD Nch 42 sh.350000!!used,hizo friji ndio tele hazina hata mnunuzi.Gari Hadi million 2 unapata.
 
sasa hapa wajasilamali,badala ya kufuata kuku singida mfuate kuku zanzibar.....................oh wait...ishu hapa TRA..ndo kikwazo
 
Unaongelea broiler au wa kienyeji?
 
VP kuhusu jamii ya akina wema sepetu Wanalikaje huko ktk marashi ya peponi maana wengine ss kula kula nyama no we like good girls ,freshing minds, & hearts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bhuddah gar gani 2m unapata huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuku wa kienyeji 5000? sio kweli Japo sijafika labda useme Vifaranga ila sio KUKU au uumaliziee sentens useme Kuku wa Broiler ila ukisema KUKU tu hapana wakienyeji nakataa Labda wa wizi hao kuku.
 
Dunia nzima kuku ni bei nafuu kuliko ng'ombe isipokuwa Tanganyika peke yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…