Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Nov 1, 2010 #21 CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!! Click to expand... CUF imeshinda majimbo yote ya Pemba kwa hiyo kinyang'anyiro ni Unguja tu..............
CCM hawategemei kuchukua jimbo lolote lile kule Pemba. Hivyo Maalim Seif anaweza kuunda Serikali ya Mseto safari hii....!!! Click to expand... CUF imeshinda majimbo yote ya Pemba kwa hiyo kinyang'anyiro ni Unguja tu..............
silver25 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2010 Posts 743 Reaction score 44 Nov 1, 2010 #22 Mmmmm wewe umepata wapi hiyo Taarifa mbona sisi tulio fuatilia Usiku Shain alikuwa anaongoza Unguja na Pemba tunasubiria?
Mmmmm wewe umepata wapi hiyo Taarifa mbona sisi tulio fuatilia Usiku Shain alikuwa anaongoza Unguja na Pemba tunasubiria?