Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali.

Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa?

Hata hivyo, kunoga huku huko Zanzibar kunatuhusu pia sisi huku bara? Au huku kwetu ni yale ya matetemeko Kagera?

Zanzibar mbele kwa mbele.

------
Source: ITV habari.
 
Hatuna maji na umeme hivyoo

Ya maji na umeme hayawahusu Zanzibar maana mto Ruvu hauwa athiri.

IMG_20211121_091817_559.jpg

Si unajua hata kwetu hilo limekwisha baada ya mchina kubambwa?
 
Hizo hotel zilikuwa za makuti

Kwani kuwa na sehemu ikiwa ni makuti ndiyo kunako ihamasishe serikali kuzigharimia?

Tetemeko la Kagera na majanga mengi lukuki yaliyotukumba huku bara tungali tunayakumbuka ujue ...
 
Kwani kuwa na sehemu ikiwa ni makuti ndiyo kunako ihamasishe serikali kuzigharimia?

Tetemeko la Kagera na majanga mengi lukuki yaliyotukumba huku bara tungali tunayakumbuka ujue ...
Inawezekana wa bima ya zanzabra ambayo ndo hiyo serikali hiyohiyo
 
Sidhani kama serikali itafanya hivyo, bali naona ni kama sehemu ya kuchukulia pointi za mezani.
 
SUK kupitia kwa makamu wa pili wa Rais imethibitisha hoteli zilizoungua zitarejeshwa zilivyokuwa na serikali.

Kwa hali hii Jussa na hivyo Zitto ishindikane vipi kuwaelewa...
Kwa mgao wanaopewa na Tanganyika awamu hii, wanaweza kufanya hayo na zaidi
 
haiwezi kuwa sawa labda kama huo moto ulisababishwa na serikali... Hizo hotel zilipaswa kuwa na Bima, serikali kugharamia maana yake ni kuruhusu watu kutokatia bima biashara wakiamini serikali itafidia..
 
Sidhani kama serikali itafanya hivyo, bali naona ni kama sehemu ya kuchukulia pointi za mezani.

Kwanini isifanye? Unataka kusema ni changa la macho huku tamko limetolewa site na mkuu wa nchi?
 
haiwezi kuwa sawa labda kama huo moto ulisababishwa na serikali... Hizo hotel zilipaswa kuwa na Bima, serikali kugharamia maana yake ni kuruhusu watu kutokatia bima biashara wakiamini serikali itafidia..
Kwa hakika si sawa na ndiyo chimbuko la huu uzi.
 
Hivi hapo Zanzibar maji na umeme vipo?

Si unajua shida ya umeme na maji ni kama ilivyoelezwa hapo kwenye red?

IMG_20211121_091817_559.jpg

Bila shaka adha za maji na umeme kwao haviwahusu.

Kumbuka hakuna popote kulipotangazwa kuwa wana shida ya maji au umeme.

CCM hoyeee!
 
Kwani mimi ndiye niliyeleta huo moto kuziunguza hizo hotel?
 
Back
Top Bottom