Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
[h=1]Written by Ashakh (Kiongozi) // 19/12/2013 // Habari // 15 Comments
ZSTC zatiliana saini na Land Co ya Japan kuzalisha bidhaa za mafuta ya mimea
BAADHI ya Bidhaa za Mafuta ya Memei zilizotengenezwa katika kiwanda cha Makonyo Wawi kupitia Wataalam wa Kampuni ya Land Co.ya Japani.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmeid Mazrui,akiangali moja ya Bidhaa ya Mafuta ya Mimea iliotengenezwa na Kampuni ya Land Co. ya Chumvi maalum ya kuogea
MAOFISA wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar wakishuhudia utilianaji wa saini hiyo ya makubaliano ya mradi wa kuzalisha bidhaa za Mafuta ya Mimea kati ya ZSTC na Land Co ya Japan.
RAIS wa Kampuni ya Land Co.ya Japan Bwa. Akira Abe, akitowa maelezo ya mradi huo wa utengenezaji wa Mafuta ya Mimea wakati wa utilianajin wa saini ya mradi huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya ZSSF Tibirinzi Chakechake Pemba.
WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe.Nassor Ahmeid Mazrui, akizungumza katika hafla hiyo ya utilianaji saini ya mradi wa Utengenezaji wa Mafuta ya Mimea, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Hoteli ya ZSSF
BALOZI wa Japan Nchini Tanzania Bwa. Mafaki Okada, akizungumza katika hafla hiyo ya utilianaji wa saini kwa pande mbili za ZSTC na Land Co ya Japan.

Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Biashara la ZSTC Zanzibar Bi Mwanahija Almas Ali akitowa maelezo ya makubaliano ya mradi huona Land Co ya Japan na Shirika la la SZTC, wakati wa utilianaji wa saini ya makubaliano ya mradi huo wa kuzalisha Mafuta ktumia mimea .

MKURUGENZI Muendeshaji wa Shirika la Biashara Zanzibar ZSTC Bi Mwanahija Almas , akitiliana saini na Rais wa Land Co, ya Japan Bwa. Akira Abe, makubaliano ya pande hizo mbili katika mradi wa pamoja utengenezaji wa Mafuta ya Mimea kutoka Zanzibar, makubaliano hayo yamefanyika katika ukumbi wa ZSSF Kibirizi Pemba, wakishuhudia Balozi wa Japani Nchini Tanzania Mafaki Okada na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Nassor Ahmeid Mazrui.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui na Balozi wa Japan Nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa SZTC na wa Ubalozi wa Japan na Kampuni ya Land Co.
[/h]
Na Zuwena Shabani,Mwananchi
Posted Alhamisi,Decemba19
Pemba. Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) limetiliana saini mkataba wa biashara ya bidhaa za manukato na Kampuni ya Land Cooparation ya Japan.
Bidhaa hizo ni mafuta ya mimea, mchaichai, mdalasini, makonyo na viuongo vingine.
Mkataba huo ulishuhudiwa na Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Serikali ya Mapinduizi Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mafaki Akada ambao ni wa kwanza ZSTC ifanyiwe mageuzi ya utendaji.
Akizungumzia mkataba huo, Waziri Mazrui alisema mkataba huo wa ushirikiano umekuja wakati mwafaka, kwani muda mrefu ZSTC ilikuwa inahitaji mageuzi ambayo yataonyesha mafaniko kwa kwa muda mfupi.
Naye Balozi Akada alisema Bidhaa zinazonukia kutoka Zanzibar zitakuwa mpya kwenye Soko la Urembo la Japan, jambo ambalo litawavutia watu wengi kwa sababu zitauzwa kwa kutumia jina la Zanzibar. Naamini bidhaa zitakazopelekwa Japan siyo tu zitakuza biashara, bali zitaimarisha ushirikiano, alisema.
Nae , Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Biashara la Taifa la ZSTC, Kassim Maalim Suleiman,alisema kuwa mashirikiano hayo ya Kibiashara baina ya ZSTC na Kampuni ya Land Coopan ya Nchini Japan ambayo ni ya muda wa miaka mitatu yataliwezesha Shirika hilo kutanuwa Soko lake la ndani sambamba na kuwapatia ajira Wananchi kwa vile utaanzisha Viwanda vidogo vidogo vya Uzalishaji wa bidhaa hizona kutowa mafunzo ya kuviendesha Viwanda hivyo.
Niimani ya Bodi kama mimi Mwenyekiti kuwa mradi huo utaleta tija kubwa hasa kwa vile Shirika hili limo katika mageuzi ya kiuendeshaji alisema, mwenyekiti huyo.
Alifahamisha kuwa Shirika hilo limo katika mchakato wa mageuzi ambao utakwenda kwa muda wa miaka mitatu kwa nia ya kuleta Tija kwa Serikali na Shirika wenyewe, lakini ili mageuzi hayo yaweze kufanikiwa ni lazima kwa Watendaji wakubali kubadilika.
Nae, Rais wa Kampuni hiyo ya Land Coop ya Nchini Japan , bwana Akira Abe, alieleza kuwa kama inavyofahamika kuwa Japan inasoko kubwa la Bidhaa hiyo wameona kuwa Ushirikiano wao na Zanzibar kuhusiana na Bidhaa hiyo utavutia watu wengi Duniani hasa wale waliokaribu na Japan .
Alifahamisha kuwa Utamaduni wa Zanzibar utaendelea kutangazwa katika nchi ya japani pamoja na utamaduni wake hasa katika tasnia nzima ya mziki wa taarab kwani na wao wameazisha na kupendwa sana katika nchi yao.
Hata hivyo aliishukuru Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shirika la ZSTC, kwa kuwapokea katika kukuza Biashara hiyo kwa manufaa ya Wananchi wa pande hizo mbili.
Kabla kujazwa mkataba huo Balozi huyo pamoja na timu yake ilifanikiwa kutembelea ukulima wa chumvi wa shengejuu,bonde la viungo la ZSTC lililoko mtakata na kujionea kiwanda kidogo cha kukamulia mafuta katika bonde hilo na kiwanda cha Makonyo kilichopo Wawi na kujionea shughuli mbali mbali zinazofanywa na kiwanda hicho.