Zanzibar kuwe na sarafu yao kuondoa utata

Zanzibar kuwe na sarafu yao kuondoa utata

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,361
Reaction score
2,378
Wadau.
Hili jambo la rates tofautI za custom,excise and duty tax kati ya bara na zbr zinachanganya wafanyabiashara. Kama mamlaka hizi za kodi haziwezi kuweka rates sawa bac PBZ Wawe na currency yao ili iendane na ushuru wake
tusiweke udini pls..tujadili uhalisia wa mambo.ukilipa ushuru zbr ukija bara unachajiwa tena..kwani unguja si sehemu ya tz?
 
ukitoa gari bara ukaingiza unguja no problem.matata ni pale ukitoa unguja kuleta bara
 
Back
Top Bottom