Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

Wafanyakazi mnadeka 😹
Si msubiri tarehe husika ndo mtoe malalamiko.!!
Btw karibu uje kula sikukuu kwangu upunguze machungu..
 
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!

Ila ona huku mpaka leo kimya..

Tujikumbushe hapa

Ushamba mzigo, kwani Tangayika ni Zanzibar au Waislamu wa Tanganyika nao walilipwa mapema?
Huwa unavuta sigara gani?
 
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!

Ila ona huku mpaka leo kimya..

Tujikumbushe hapa

Kwahiyo unataka kusilimu kwasbabu ya kupokea mshahara mapema we mkuu hukujua tarehe x mas, acha kua unatumia mshahara wote uwe na akiba mkuu.
 
Nchi hii shida sana, wafanyakazi wanalia maisha magum na tusiokuwa waajirwa mtaani maisha magumu. Nilitamani siku itokee tubadilishane waajiriwa waje mtaani japo kwa mwaka mmoja tu waone ugum wa maisha
 
Hamia ZNZ chief.

Kama ilivyo na raisi wake, elewa pia Zanzibar ina mamlaka yake yasiyoingiliwa na muungano.
 
Lawama nyingine hazina maana, subirini tarehe sahihi ya malipo, ikitokea hisani shukuru, isipotokea basi subiri utapata haki yako kwa wakati uliopangwa.
 
Tanganyika sio ya wakristo, serikali haina dini
 
Mpewe mapema mzifyeke, then njanuari muanze kulalama🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom