Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Ushamba mzigo, kwani Tangayika ni Zanzibar au Waislamu wa Tanganyika nao walilipwa mapema?Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!
Ila ona huku mpaka leo kimya..
Tujikumbushe hapa
Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameagiza malipo ya mishahara ya mwezi wa Aprili kufanyika mapema kuanzia tarehe 14 Aprili 2023 kwa wafanyakazi wa Serikali kwa ajili ya matayarisho ya Sikukuu ya Eid El Fitr. Kwa mujibu wa tamko la Rais Dk...www.jamiiforums.com
Kwahiyo unataka kusilimu kwasbabu ya kupokea mshahara mapema we mkuu hukujua tarehe x mas, acha kua unatumia mshahara wote uwe na akiba mkuu.Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!
Ila ona huku mpaka leo kimya..
Tujikumbushe hapa
Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameagiza malipo ya mishahara ya mwezi wa Aprili kufanyika mapema kuanzia tarehe 14 Aprili 2023 kwa wafanyakazi wa Serikali kwa ajili ya matayarisho ya Sikukuu ya Eid El Fitr. Kwa mujibu wa tamko la Rais Dk...www.jamiiforums.com
Acha wivu masuala ya zazibar yana kuhusu nini wewe MtanganyikaBasi jambo hilo lisijirudie kwenye Idd
Walipwe mapema na January waanze kuruka ruka adaIddi na Christmass siyo jambo la muungano