Hapo kuna mtu amelengwa naona. NapitaAngalia mamlaka iliyotoa
Hiyo mamlaka ndio imeonesha jinsia, umri n.k. Kweli hapa kazi tu.Angalia mamlaka iliyotoa
yaan...hii nchi, ni mtihani hadi leseni ya ulevi [emoji23][emoji23][emoji23]Du...
Iko hivi zamani leseni za vilevi zilitolewa kwa madaraja kuanzia pub mpaka bar kubwaYaan!...
Hii nchi ina vitu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi leseni ya ulevi ipo!
Najua humini...lakini sitaki kuandika porojo wakati uthibitisho upo [emoji116]
View attachment 2572130