Utamaduni wao tu kama ambavyo watu jumapili hupumzika hata kama sio wakristo na hawaendi kanisani.Hawa jamaa ni wadini sn, mbona Kwaresma haijasimama?
Wazanzibar wakristo hata elfu 50 hawafikina wachezaji hawafiki hata 100 wangeweza tu kujipumzikia.Hawa jamaa ni wadini sn, mbona Kwaresma haijasimama?
Kwa vile wakristo hawafiki elfu 50 kwa hiyo kusiwe na mapumziko ya Pasaka wala X-mas?Wazanzibar wakristo hata elfu 50 hawafikina wachezaji hawafiki hata 100 wangeweza tu kujipumzikia.
Si wako wachache kama ambavyo imani zengine hapa Tanzania wako wachache ndio maana tunasikia wakristo na waislamu tu.Kwa vile wakristo hawafiki elfu 50 kwa hiyo kusiwe na mapumziko ya Pasaka wala X-mas?
Mapumziko ya Pasaka na X-mass yapo wewe umezungumzia mapumziko ya Kwaresma.Kwa vile wakristo hawafiki elfu 50 kwa hiyo kusiwe na mapumziko ya Pasaka wala X-mas?
Zanzibar ni kupe tu kwa Tanganyika. Ingekuwa ni nchi, isingekuwa tegemezi kwa Tanganyika kwa miaka mingi.Kumbe Zanzibar ni nchi
Yap, kwani hao wachache hawafungi? lazima utende haki kwa woteMapumziko ya Pasaka na X-mass yapo wewe umezungumzia mapumziko ya Kwaresma.
Siyo kweli Zanzibar mi siyo mgeni kuna wakrtisto wengi sn kutoka bara wapo pale, kwanini na wao wasipewe haki hiyo?Si wako wachache kama ambavyo imani zengine hapa Tanzania wako wachache ndio maana tunasikia wakristo na waislamu tu.
Wenye mpira wao tayari wamefanya uamuzi wanaopinga waende Fifa.Yap, kwani hao wachache hawafungi? lazima utende haki kwa wote
Hatupingi isipokuwa tunahojiWenye mpira wao tayari wamefanya uamuzi wanaopinga waende Fifa.
Hii ligi imetoa wachezaji wa kutosha tunaowasifia huku Tanganyika!!Ligi yenyewe haina maana,hata wasipocheza hawana Cha kupoteza. Ligi gani hiyo kombe la Mbuzi?