Pre GE2025 Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja awaomba wananchi wakajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

Pre GE2025 Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja awaomba wananchi wakajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amewaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura lengo likiwa ni kuhakikisha wanakwenda kuwapigia kura viongozi wanaowahitaji katika jamii na nchi kwa ujumla

Mhe. Ayoub ameyasema hayo leo wakati wa zoezi la kuhamasisha wananchi kupitia Kampeni ijulikanayo kwa jina la Ride to Vote ambayo inalenga kuikumbusha jamii kujiandika katika daftari la wapiga kura ambapo kwa mkoa wa Kusini zoezi hilo litakuwa ni siku tatu kuanzi tarehe 11,12 na 13.

 
Back
Top Bottom