Zanzibar 2020 Zanzibar mpya ya Dkt. Hussein Mwinyi yafurahisha, ni neema tupu

Zanzibar 2020 Zanzibar mpya ya Dkt. Hussein Mwinyi yafurahisha, ni neema tupu

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
1. Elimu bure
2. Afya bure
3. Ajira mpya zaidi ya 300,000
4. Uchumi wa bluu kuimarisha sekta ya utalii, uvuvi, mafuta na gesi.
5. Viwanda vipya kujengwa
6. Barabara za lami kilomita 198 kujengwa
7. Umeme wa uhakika na wa gharama nafuu
8. Utalii kukuzwa na kuingiza zaidi ya Watalii 850,000
9. Mikataba ya mafuta na gesi kufumuliwa na kuingiwa mipya yenye tija kwa Wazanzibar
10. Wavuvi wadogo wadogo kuwezeshwa
11. Ujenzi wa viwanja vya ndege vya kisasa
12. Ujenzi wa bandari ya kisasa kupokea meli kubwa na makontena mengi.
13. Kukomesha udhalilishaji wa akina Mama na Watoto
14. Kujenga umoja, kuwaunganisha Wazanzibar
15. Kushughulikia wala rushwa na Mafisadi.

*Kwa Zanzibar mpya*,
*Chagua Dkt. Hussein Mwinyi* awe Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
*Chagua CCM*

*Shilatu, E.J*
 
Bora tukae kimya wa Zanzibari wenyewe ndio watakao amua
 
Haya yooote ni ndoto za mchana kama huna Mamlaka ya Zanzibar.
Mamlaka kwanza.
Mfumo wa Muungano ndio umeiweka zanzibar Hapo ilipo.
Huyu Ni muongo kama Yule aliyepita yeye aliahidi
Bandari Mpya,
Uwanja wa Ndege Mpya,
Kuchimba Mafuta,
Kujenga Viwanda vya samaki,
Kufanya uvuvi wa bahari kuu.
Zanzibar kuwa kama Dubai( Tumeishia Zanzibar kuwa kama shimo la choo,kila mahali machemba ya vyoo ya tema)

Mwarubaini wa Zanzibar ni Mali Seif
Yeye ataleta Mamlaka ya Zanzibar na kuifanya itekeleze malengo yake makuu ya kiuchumi .
 
Na. 12 Makontena mengi ya nini kama yakifunguliwa vitu vilivyomo haviuziki nje ya Zanzibar kutokana na ushuru mara mbili. Na hivyo vitu vyote vyengine ni ahadi hewa tu hana moyo wa kuvifanya kwani hana moyo wa Uzanzibari,atatekeleza ajenda za waliomuweka ambazo kubwa ni kumalizia kuimeza Zanzibar.
 
Kwa chanzo kipi cha mapato upate hayo yote mkuu...au mtapiga swalah
 
1. Elimu bure
2. Afya bure
3. Ajira mpya zaidi ya 300,000
4. Uchumi wa bluu kuimarisha sekta ya utalii, uvuvi, mafuta na gesi.
5. Viwanda vipya kujengwa
6. Barabara za lami kilomita 198 kujengwa
7. Umeme wa uhakika na wa gharama nafuu
8. Utalii kukuzwa na kuingiza zaidi ya Watalii 850,000
9. Mikataba ya mafuta na gesi kufumuliwa na kuingiwa mipya yenye tija kwa Wazanzibar
10. Wavuvi wadogo wadogo kuwezeshwa
11. Ujenzi wa viwanja vya ndege vya kisasa
12. Ujenzi wa bandari ya kisasa kupokea meli kubwa na makontena mengi.
13. Kukomesha udhalilishaji wa akina Mama na Watoto
14. Kujenga umoja, kuwaunganisha Wazanzibar
15. Kushughulikia wala rushwa na Mafisadi.

*Kwa Zanzibar mpya*,
*Chagua Dkt. Hussein Mwinyi* awe Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
*Chagua CCM*

*Shilatu, E.J*

Haya tumeyasikia kwa kila mgombea miaka zaidi ya 50 sasa na hakuna moja linalofanywa zaidi ya kubomoa kila sekta .

Wazanzibari wanalolitaka kwanza ni UHURU WAKE kutoka kwa WAVAMIZI wa CCM , Tanganyika

Na atamke hilo kama yeye ni mwanamume
 
Back
Top Bottom