Zanzibar na guest isiyo na jina

Zanzibar na guest isiyo na jina

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi nimekuja tena huku na kumtafuta rafiki yangu akaniambia zipo za bei naafuu. Akanipeleka sehemu fulani jina silikumbuki nikafika kwenye hiyo guest, bei yake ni 30k, sio mbaya ndani ila cha ajabu haina jina.
 
Mods fanyeni kazi yenu.
 
Mkuu,ukinyongwa humo?
 
Back
Top Bottom