Wasalaam! Kwenye haratakati za hapa na pale nilishawahi kukutana na Mikasa kadhaa ya lodge/gest nilizowahi kulala ! 1. Dar es Salaam Nilienda lodge moja nzuri tu yenye hadhi, kufika reception mhudumu akanipatia chumba, nikasain na kulipa! Nikakumbuka sina Kinga nikarudi kuuliza Kama wanauza...