lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
Habarini
Katika kipindi hiki cha maambikizi ya ugonjwa huu hatari, naomba niwakumbushe au niwatahadharishe wakazi wote wa Zanzibar.
1. Ni usafiri wa daladala zinaitwa chai maharage
Ukweli usafiri huu serikali ya mapinduzi hebu muutazame
Hii ni hatari sana watu wanajazana kwelikweli.
Serikali pigeni marufuku usafiri huu hauna afya kabisa.