Mungu awaokoe masikini wote ,Kuna bajaji za mbezi manzese huku Dar ni za njano. Juzi nimepanda tukaambiwa tunaingia saba kwenye bajaji na mmoja anakaa kwenye siti ya dereva. Si mchezo nikajikuta naomba nikae na dereva
Hakuna wanaokufa kama matajiri mana wanapenda maisha ya raha na wanakuta wanakufa ovyoMungu awaokoe masikini wote ,
Amina .
Hahaa siku hizi kisukari na presha havibaguiHakuna wanaokufa kama matajiri mana wanapenda maisha ya raha na wanakuta wanakufa ovyo
Corona inawamaliza wale wenye magonjwa yao zaidi na matajiri wengi wana masukari, mapresha nk
Mpaka ije kumuua masikini ishaua matajiri wote tena wanakufa sheli wanapoenda lkuweka mafuta na magari yao maana kila mtu lazima apite sheli
Mungu awaokoe Matajiri wote
Amina
Mungu awaokoe akina nani? hapana aisee.. wametufisadi sana kwanini wasitangulie?Hakuna wanaokufa kama matajiri mana wanapenda maisha ya raha na wanakuta wanakufa ovyo
Corona inawamaliza wale wenye magonjwa yao zaidi na matajiri wengi wana masukari, mapresha nk
Mpaka ije kumuua masikini ishaua matajiri wote tena wanakufa sheli wanapoenda lkuweka mafuta na magari yao maana kila mtu lazima apite sheli
Mungu awaokoe Matajiri wote
Amina
Ukiwa bwanyenye kupata kisukari ni rahisi kuliko kuwa fukara. Sana sana fukara anakuwa na kiriba tumbo wakati mabwanyenye wanakuwa na vitambi vya aina zote
Wakiondoka kutabaki wachawi wengi wakiwepo hao mchwi pesa, aisee wasionoke wote waondoke wale wenye roho mbaya kwanza wale wenye roho nzuri watufundishe ubwanyenyeMungu awaokoe akina nani? hapana aisee.. wametufisadi sana kwanini wasitangulie?
.Habarini
Katika kipindi hiki cha maambikizi ya ugonjwa huu hatari, naomba niwakumbushe au niwatahadharishe wakazi wote wa Zanzibar.
1. Ni usafiri wa daladala zinaitwa chai maharage
Ukweli usafiri huu serikali ya mapinduzi hebu muutazame
Hii ni hatari sana watu wanajazana kwelikweli.
Serikali pigeni marufuku usafiri huu hauna afya kabisa.