Nitakununulia nimpe akuleteeGudume ukirudi naomba uniletee ubuyu wa babu issa
Amesema wadadaKaribu fuoni
Gujike usitembee umeweka kitambaa mfuko wa nyuma I repeat USIWEKE KITAMBAA MFUKO WA NYUMA. utaolewa mapema tena hata darajani huta fika...
Wakati unaenda Makundu..uchi nipitie hapa fuoni Taveta twende...🙂
Bububu, saateni, mahonda, mfenesini, upenja, matemwe, kiwengwa,bwejuu, fumba, kibandamaiti,mwela meli 4, mwanakwelekwe, mombasa, fuoni, mkokotoni, mazizini, mbweni, chukwani, buyuni hadi shakani kwa watoto wa kimakonde nifikishie salaam zangu shekhe!
Dada zetu wa nini? Chukua tour guide umlipe akutembeze...Maisha ya bara yamekushinda umekuja Zbar kudanga eeh!
Hongera yakhe kwa marashi ya karafuu ZanzibarMpaka muda huu sijalala.... Napata marashi ya karafuu tu.... Zanzibara mashallah...naomben wadada mlio huku jaman tusisahau ukarimu wa kiafrika... Tuwasiliane...
Ni lini umeanza kunikosea heshima hivi ndugu yangu? Mbona mimi nlikuwa nakuona kuwa ni kijana smart? Anyway hamna shida yote kheri tu...
Bagamoyo..tanga..kilwa na kwa wakwere huko huko ndo yapo hayo....Nasikia zenji ukiwa na busha unakuwa first priority kwa wadada
Aende mabaa tu kuna wageni wengi wa mrima wanajiita wazenji ili kutafuta soko ......hata wamasai atapata.Kuwa Makin Kuwa Na Wake Za watu Watu Wa Huko Masiala Hawatak Kabisa Oooohhh
Sawa mkuu nitashkuru upo hukoNitakununulia nimpe akuletee
GuDume ni PM nikupe mzigo wa Shunie. Kama bado hujaondokaNataka ubuyu wa babu issa we ulizia huko znz gudume ubuyu wa babu issa
Asante mkuu ubarikiwe mnooo[emoji120][emoji7][TAG]GuDume[/TAG]ni PM nikupe mzigo wa Shunie. Kama bado hujaondoka