Zanzibar ni zigo la misumari, tulibwage!

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,944
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!
 
Wewe hayo uyasemee huko huko, Usitudanganye wakati ulishawahi kutwambia Wapanue Selo kule Kalenga, Naona kama leo umeamkia pabaya, au umejimwaga na Vodka ambapo ungekuwa Kalenga ungepigilia Ulanzi maana thread zako leo ni Majanga kwa sera za CCM ambako wewe ndiko nyumbani kwenu. Au unapima upepo mazee. Kwani htukuelewi, Si unajua wale jamaa wanaotunyofoaga kucha wapo kazini, sasa unatuhamsisha tuasi sera za chama tawala unatutakia meam kweli. ACHA UCHOCHEZI, Tena nawaomba wakunyang'anye hati ya kusafiria kwani unachopandikiza ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu.
 
Nenda Dodoma kajenge hizi hoja zako dhaifu ingawa huwezi kuingia ukimbini lakini unawza kuwafuata wajumbe mmoja mmoja mahotini na makambini mwao wanamo ishi ukawashawihi na kihiji kijihoja chako dhaifu kisicho na mishiko. Sisi humu hatuwezi kukusaidia chochote zaidi kutupotezea wakati tu.
 
Wewe hayo uyasemee huko huko, Usitudanganye wakati ulishawahi kutwambia Wapanue Selo kule Kalenga, Naona kama leo umeamkia pabaya, au umejimwaga na Vodka ambapo ungekuwa Kalenga ungepigilia Ulanzi maana thread zako leo ni Majanga kwa sera za CCM ambako wewe ndiko nyumbani kwenu. Au unapima upepo mazee. Kwani htukuelewi, Si unajua wale jamaa wanaotunyofoaga kucha wapo kazini, sasa unatuhamsisha tuasi sera za chama tawala unatutakia meam kweli. ACHA UCHOCHEZI, Tena nawaomba wakunyang'anye hati ya kusafiria kwani unachopandikiza ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu.
Nyie mlikuiwa nmnapiga kelele mnataka kujitenga sasa kwa nini mnakula kona wakati hii nio fursa yenu ya kubaki na swamp?
 
Haha...leo unayo kazi nimekuambia ukiamka 99% ya shida zako zitakuw ani CCM,na utajikuta kwa asilimia 99% upo CDM..1% tumbo linakusumbua na kale kalaana ka kuuza watu na kujinyonga kwa wanyalu
 
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!

Mbona unajitia kidole cha pua? Zile kodi munazokusanya kutoka Zanzibar kupitia TRA mukiimarisha uchumi wa Tanganyika mumesahau? Si mulisema zanzibar wasichimbe mafuta na gesi kwa vile ni sehemu ya JMT bila ya idhini yenu? shida yenu ilikuwa ni nini? Pinda alienda lini Zanzibar kukagua miradi ya kiuchumi iliyotoka Tanganyika kuinufaisha Zanzibar?? mbona munajitia mashetani
 
Haha...leo unayo kazi nimekuambia ukiamka 99% ya shida zako zitakuw ani CCM,na utajikuta kwa asilimia 99% upo CDM..1% tumbo linakusumbua na kale kalaana ka kuuza watu na kujinyonga kwa wanyalu

Vipi kale kalaana ka liwati na ufuska wa knondoni kwa wafipa?
 
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kuishi tukitukanana na kuitana majina na Wazanzibar? Mbona hatufanyi hivyo na Wa msumbuji, Warundi, Waganda, Wazambia nk?
Mi nadhani sasa yatosha Tanganyika na Zanzibar kubaki kuwa nchi mbili zenye ushirikiano na ujirani mwema kama walivyo majirani wao wengine...
 
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kuishi tukitukanana na kuitana majina na Wazanzibar? Mbona hatufanyi hivyo na Wa msumbuji, Warundi, Waganda, Wazambia nk? Mi nadhani sasa yatosha Tanganyika na Zanzibar kubaki kuwa nchi mbili zenye ushirikiano na ujirani mwema kama walivyo majirani wao wengine...
CCM hawawezi fikia pa kuuvunja responsibly au kufanya chi moja na kuchanganya watu wazenj zaii ya nusu watanywe bara na Zenj waende waende wabara.Biashara iishe
 
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!

Kwani lile dai lako la kunyimwa ardhi kule halikupatiwa ufumbuzi? Hata hivyo nimeipenga hiyo ya kubwaga manyanga!
 
Nyie mlikuiwa nmnapiga kelele mnataka kujitenga sasa kwa nini mnakula kona wakati hii nio fursa yenu ya kubaki na swamp?

Kwa sababu huo sio utaratibu wetu. Hatua zetu ni za kimdebwedo lakini za uhakika. jejea sasa lakini itafika wakati mtaamuwa kwa ukubwa na maguvu yenu kuachia!
 
CCM hawawezi fikia pa kuuvunja responsibly au kufanya chi moja na kuchanganya watu wazenj zaii ya nusu watanywe bara na Zenj waende waende wabara.Biashara iishe

Tulijuwa toka mwanzo kuwa uliposti machungu yako juu ya choyo chako , Zanzibar ni njema atakae na aje lakini tum.........!
 
chocyo ipi sasa wakati nipo tayari wapewe hata ardhi bara ili waondokane na fikra na tabia ambazo zipo too much contained kiasi cha kuwa na watu ktk muungano ambao ni duni na bado wanajitenga?
 
Nasikia kuna makabila mengine hupenda kufanyiwa kila kitu huko, okay kwanini msiwape nao wanakujengeeni maghorofa?
 
hata marekani ilipitia misukosuko kipindi kirefu cha nyuma...

hata ikiwezekana kupigana, tutapigana tu lakini si kujitenga na zanzibar!
 
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!
""FAFANUA KWA UNDANi KWA NINI NI ZIGO LA MAVI?""
 
chocyo ipi sasa wakati nipo tayari wapewe hata ardhi bara ili waondokane na fikra na tabia ambazo zipo too much contained kiasi cha kuwa na watu ktk muungano ambao ni duni na bado wanajitenga?

Wewe! Mbulula ltd!

"Too much contained" ndio kitu gani sasa!
Teh teh teh!

Haki ya baba hizi gongo zitaua wengi mwaka huu!

Na hii chadema ndo inamaliza kabisaa ku promote gongo!

Sasa hebu angalia comments za huyu kiumbe!

Hivi huyu kweli mzima!

Duhh!
 
hata marekani ilipitia misukosuko kipindi kirefu cha nyuma...

hata ikiwezekana kupigana, tutapigana tu lakini si kujitenga na zanzibar!

Sasa Excel upigane na nani tena!?
Mbona unakuwa tayari kwenye fikra za umwagaji damu!?

Hivi hata yesu anapenda kweli!??

Na kuna nini cha mlo huko zanzibara mpaka tuwa ng'ang'anie kiasi hicho!?
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono, wazanzibar waachwe waende salama. Tanganyika ni muhimu kuliko tanzania kwa sasa! Tumechoka kisiwa kuendelea kutawala bara. Wabunge wangu wa tanganyika katika suala hili tuweke vyama pembeni, tanganyika kwanza vyama baadae!
 
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?

Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?

Tunafaidika nini na huu muungano ?

Ni wakati umefika tubwage manyanga

JITAMBUE!

Mkuu, huu ni uchochezi wa dhahir unaoelekea kuwa uhaini!!
 
Back
Top Bottom