Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Nyie mlikuiwa nmnapiga kelele mnataka kujitenga sasa kwa nini mnakula kona wakati hii nio fursa yenu ya kubaki na swamp?Wewe hayo uyasemee huko huko, Usitudanganye wakati ulishawahi kutwambia Wapanue Selo kule Kalenga, Naona kama leo umeamkia pabaya, au umejimwaga na Vodka ambapo ungekuwa Kalenga ungepigilia Ulanzi maana thread zako leo ni Majanga kwa sera za CCM ambako wewe ndiko nyumbani kwenu. Au unapima upepo mazee. Kwani htukuelewi, Si unajua wale jamaa wanaotunyofoaga kucha wapo kazini, sasa unatuhamsisha tuasi sera za chama tawala unatutakia meam kweli. ACHA UCHOCHEZI, Tena nawaomba wakunyang'anye hati ya kusafiria kwani unachopandikiza ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu.
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
Haha...leo unayo kazi nimekuambia ukiamka 99% ya shida zako zitakuw ani CCM,na utajikuta kwa asilimia 99% upo CDM..1% tumbo linakusumbua na kale kalaana ka kuuza watu na kujinyonga kwa wanyalu
CCM hawawezi fikia pa kuuvunja responsibly au kufanya chi moja na kuchanganya watu wazenj zaii ya nusu watanywe bara na Zenj waende waende wabara.Biashara iisheHivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kuishi tukitukanana na kuitana majina na Wazanzibar? Mbona hatufanyi hivyo na Wa msumbuji, Warundi, Waganda, Wazambia nk? Mi nadhani sasa yatosha Tanganyika na Zanzibar kubaki kuwa nchi mbili zenye ushirikiano na ujirani mwema kama walivyo majirani wao wengine...
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
Nyie mlikuiwa nmnapiga kelele mnataka kujitenga sasa kwa nini mnakula kona wakati hii nio fursa yenu ya kubaki na swamp?
CCM hawawezi fikia pa kuuvunja responsibly au kufanya chi moja na kuchanganya watu wazenj zaii ya nusu watanywe bara na Zenj waende waende wabara.Biashara iishe
chocyo ipi sasa wakati nipo tayari wapewe hata ardhi bara ili waondokane na fikra na tabia ambazo zipo too much contained kiasi cha kuwa na watu ktk muungano ambao ni duni na bado wanajitenga?Tulijuwa toka mwanzo kuwa uliposti machungu yako juu ya choyo chako , Zanzibar ni njema atakae na aje lakini tum.........!
chocyo ipi sasa wakati nipo tayari wapewe hata ardhi bara ili waondokane na fikra na tabia ambazo zipo too much contained kiasi cha kuwa na watu ktk muungano ambao ni duni na bado wanajitenga?
""FAFANUA KWA UNDANi KWA NINI NI ZIGO LA MAVI?""Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!
chocyo ipi sasa wakati nipo tayari wapewe hata ardhi bara ili waondokane na fikra na tabia ambazo zipo too much contained kiasi cha kuwa na watu ktk muungano ambao ni duni na bado wanajitenga?
hata marekani ilipitia misukosuko kipindi kirefu cha nyuma...
hata ikiwezekana kupigana, tutapigana tu lakini si kujitenga na zanzibar!
Hivi watanganyika wenmzangu tatizo lenu nini?
Kwa nini tuendelee kubebeba hii misumari?
Tunafaidika nini na huu muungano ?
Ni wakati umefika tubwage manyanga
JITAMBUE!