Zanzibar: Rais Hussein Mwinyi atengua uteuzi wa Wakurugenzi watatu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya

Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis

DF097784-D6F1-4EB0-8871-55696AFFB43A.jpeg
 
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya

Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis

View attachment 2137429
Zanzibar ikiacha ujinga wa uCCM CCM inaeza kuwa kama Dubai iliyochangamka
 
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya

Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis

View attachment 2137429
Huyu muda wake utaisha anateua na kutengua pekee
 
Hivi Zanzibar hakuna wakristo? mbona vyeo vyote ni dini moja tu?
Jaji Augustino Ramadhan pamoja na jina lake la Kiislamu, alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana.

Kuwa na jina la Kiarabu haimaanishi kuwa Mkristo, na kuwa na jina la Kikristo haina maana kuwa huwezi ukawa Muislam.

Halafu dini hizi hata hazina tofauti. Zote sawa tu na hakuna haja ya kuzozana na kupigana vikumbo kidini
 
Kuwa na jina la Kiarabu haimaanishi kuwa Mkristo, na kuwa na jina la Kikristo haina maana kuwa huwezi ukawa Muislam...
Hapana inamaana wakristo wa Zanzibar hawana majina ya kikristo? acha utoto Augustino ni jina la Kikristo hilo lipo wazi
 
I
Jaji Augustino Ramadhan pamoja na jina lake la Kiislamu, alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana.

Kuwa na jina la Kiarabu haimaanishi kuwa Mkristo, na kuwa na jina la Kikristo haina maana kuwa huwezi ukawa Muislam.

Halafu dini hizi hata hazina tofauti. Zote sawa tu na hakuna haja ya kuzozana na kupigana vikumbo kidini
Mmmh ukristo sio uislam aisee and vice versa. Kila mtu awe na kwao. Mtu anakuita kafir halafu useme dini zipo sawa?? NOPE
 
Mwinyi ni mtanganyika, aliaminishwa na Magu kwamba atamuachia Urais, kwa hiyo anaamini akienda na staili ya Magu, atakubalika bara, huku bara mama bado ana mitano tena, akae vizuri na hao wazenji,bara hatuko tayari kurudia ujinga wa awamu ya tano
 
Ukiwa mkristo kule hata ikitokea umepewa ubalozi wa nyumba kumi mapema wanakuua wale, ndugu zetu hawa wana ubaguzi kiwango cha SGR
 
Huyu jamaa anakaribia kuvunja rekodi ya dunia kwa kutengua
Zanzibar yenyewe, ukiondoa wazee na watoto, Ina wenye qualification za kuajiriwa hawazidi laki, ngazi za juu hata mia tano hawafiki
 
Kuna dude linalomaliza nchi lenye rangi ya njano,kijani na nyeusi.Likiondoka hilo dude Zanzibar itapiga hatua kwa kasi.
 
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya

Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis

View attachment 2137429
Huu UMagufuli gufuli naona Uta endelea kwa muda mrefu. Bila katiba mpya hawa miungu watu wataendelea kunyanyasa watu hata wasio kuwa na hatua.

Kazi za ngazi zote serikalini inatakuwa ziwe zinapatikana kwa usaili isipokuwa za Makatibu Wakuu.
 
Mmmh ukristo sio uislam aisee and vice versa. Kila mtu awe na kwao. Mtu anakuita kafir halafu useme dini zipo sawa??
Mbona watu wote tupo sawa ila mtu anamuita mwingine Ngo'mbe, Mbwa etc?? Kuitwa kafiri haibadilishi chochote ni madharau tu kama madharau mengine, as long as hakufanyii direct/phyisical disturbance you just ignore endelea na maisha tu.
 
Back
Top Bottom