Zanzibar ikiacha ujinga wa uCCM CCM inaeza kuwa kama Dubai iliyochangamkaRais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya
Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis
View attachment 2137429
Huyu muda wake utaisha anateua na kutengua pekeeRais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya
Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis
View attachment 2137429
Chadema kuna waislamu?Hivi Zanzibar hakuna wakristo? mbona vyeo vyote ni dini moja tu?
Unamjua Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema?Chadema kuna waislamu?
Unamjua Charles Hilal?Unamjua Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chadema?
Jaji Augustino Ramadhan pamoja na jina lake la Kiislamu, alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana.Hivi Zanzibar hakuna wakristo? mbona vyeo vyote ni dini moja tu?
Hapana inamaana wakristo wa Zanzibar hawana majina ya kikristo? acha utoto Augustino ni jina la Kikristo hilo lipo waziJaji Augustino Ramadhan pamoja na jina lake la Kiislamu, alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana.
Kuwa na jina la Kiarabu haimaanishi kuwa Mkristo, na kuwa na jina la Kikristo haina maana kuwa huwezi ukawa Muislam...
Mmmh ukristo sio uislam aisee and vice versa. Kila mtu awe na kwao. Mtu anakuita kafir halafu useme dini zipo sawa?? NOPEJaji Augustino Ramadhan pamoja na jina lake la Kiislamu, alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana.
Kuwa na jina la Kiarabu haimaanishi kuwa Mkristo, na kuwa na jina la Kikristo haina maana kuwa huwezi ukawa Muislam.
Halafu dini hizi hata hazina tofauti. Zote sawa tu na hakuna haja ya kuzozana na kupigana vikumbo kidini
Zanzibar yenyewe, ukiondoa wazee na watoto, Ina wenye qualification za kuajiriwa hawazidi laki, ngazi za juu hata mia tano hawafikiHuyu jamaa anakaribia kuvunja rekodi ya dunia kwa kutengua
Huu UMagufuli gufuli naona Uta endelea kwa muda mrefu. Bila katiba mpya hawa miungu watu wataendelea kunyanyasa watu hata wasio kuwa na hatua.Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua utenguzi wa Dkt. Abdulla Suleiman Ali aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu (Afya) Wizara ya Afya
Wengine waliotenguliwa ni Mkurugenzi Mkuu wa Sekretarieti ya Tume ya Ushindani Halali wa Biashara, Mohammed Jaffar Jumanne na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uhifadhi na Uendelezaji Mji Mkongwe, Madina Haji Khamis
View attachment 2137429
Mbona watu wote tupo sawa ila mtu anamuita mwingine Ngo'mbe, Mbwa etc?? Kuitwa kafiri haibadilishi chochote ni madharau tu kama madharau mengine, as long as hakufanyii direct/phyisical disturbance you just ignore endelea na maisha tu.Mmmh ukristo sio uislam aisee and vice versa. Kila mtu awe na kwao. Mtu anakuita kafir halafu useme dini zipo sawa??
Wapo charles hillary humuoni?Hivi Zanzibar hakuna wakristo? Mbona vyeo vyote ni dini moja tu?