Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 3, 2022 #21 fimboyaasali said: Wapo charles hillary humuoni? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... Hiyo siyo kiongozi bhana, taja mwakilishi au Waziri ambaye ni mkristo
fimboyaasali said: Wapo charles hillary humuoni? Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... Hiyo siyo kiongozi bhana, taja mwakilishi au Waziri ambaye ni mkristo
Kindeena JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 11,462 Reaction score 21,124 Mar 3, 2022 #22 Bondpost said: I Mmmh ukristo sio uislam aisee and vice versa. Kila mtu awe na kwao. Mtu anakuita kafir halafu useme dini zipo sawa?? NOPE Click to expand... Tafsiri ya 'kafiri' ni mtu asiyeijua dini. Mtu yeyote wa dini yeyote kama hana uelewa wa dini yeyote, basi huyo ni kafiri. Mawazo mgando yamefanya watu kuamini kwamba kafiri ni Mkristo.
Bondpost said: I Mmmh ukristo sio uislam aisee and vice versa. Kila mtu awe na kwao. Mtu anakuita kafir halafu useme dini zipo sawa?? NOPE Click to expand... Tafsiri ya 'kafiri' ni mtu asiyeijua dini. Mtu yeyote wa dini yeyote kama hana uelewa wa dini yeyote, basi huyo ni kafiri. Mawazo mgando yamefanya watu kuamini kwamba kafiri ni Mkristo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 3, 2022 #23 Aiseee
Kinyungu JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 19,484 Reaction score 38,416 Mar 3, 2022 #24 johnthebaptist said: Unamjua Charles Hilal? Click to expand... Hebu jifunze kutofautisha matumizi ya "r" na "l" kwanza
johnthebaptist said: Unamjua Charles Hilal? Click to expand... Hebu jifunze kutofautisha matumizi ya "r" na "l" kwanza
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Mar 3, 2022 #25 Kinyungu said: Hebu jifunze kutofautisha matumizi ya "r" na "l" kwanza Click to expand... Haya. Sasa jibu swali.
Kinyungu said: Hebu jifunze kutofautisha matumizi ya "r" na "l" kwanza Click to expand... Haya. Sasa jibu swali.