Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameivunja bodi ya wakurugenzi wa Shirika la Bima la Zanzibar(ZIC). Amemteua Ramadhani Mwalimu Khamisi kuwa mwenyekiti wa bodi hiyo.
Pia Rais Mwinyi ameteua Balozi Amina Salum Ali kuwa mwenyekiti wa bodi ya Takwimu Zanzibar. Salma Haji Saadat ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa BAraza la Taifa la watu wenye ulemavu.
Ussy Khamis Debe ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa BAraza la Taifa la watu wenye Ulemavu.