Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hivi unaweza taja chama chenye majina mapya co kila cku mbatia mbowe sefu zito na hata huko ccm wenye nacho huongezewa mkuu.Hivi hakuna majina ya wabunge mpaka kila siku mkuya mkuya
Hivi Chama chetu hiki hakina chipukizi wengi waache na hawa veterani??
Yaan hizi mzee ni kama cohort fulanihivi unaweza taja chama chenye majina mapya co kila cku mbatia mbowe sefu zito na hata huko ccm wenye nacho huongezewa mkuu
Hivi hakuna majina ya wabunge mpaka kila siku mkuya mkuya
Hivi Chama chetu hiki hakina chipukizi wengi waache na hawa veterani??
KamuulizeHivi alishinda uraisi?
BLW litamteua kuwa Mbunge wa Bunge la JMT.Naona Saada Mkuya kaibukia kwao sasa baada ya kubebwa bebwa na JK ubunge,unaibu waziri was fedha,uwaziri wa fedha
**Anna Athanas Paul naona majina ya upande "wetu" nayo yamekumbukwa
Tunasubiri Joyce Mukya, Lucy owenya, ndesamburo, mdee, nkHivi hakuna majina ya wabunge mpaka kila siku mkuya mkuya
Hivi Chama chetu hiki hakina chipukizi wengi waache na hawa veterani??
Sijui ni kwa nini mheshimiwa sana Raisi Mwinyi kamteua huyu Saada Mkuya SalumRais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewateua watu watano kuwa wajumbe wa baraza la wawakilishi.
Kwa kufuata kifungu 66 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1964 amewateua Saada Mkuya Salum, Tabia Maulid Mwita, Juma Ali Khatib, Hemed Suleiman Abdalla na Anna Athanas Paul.
Viongozi wote hao walitakiwa kuripoti Baraza la Wawakilishi Novemba 8 saa sita mchana.
View attachment 1622127
View attachment 1622128
Kwan huyu saada mkuya mbona ulimponda sana ana shida gani ?Sijui ni kwa nini mheshimiwa sana Raisi Mwinyi kamteua huyu Saada Mkuya Salum
Mh. Raisi Mwinyi asije tu akamteua kuwa waziri wa fedha Zanzibar
Endapo akimfanya Saada Mkuya Salum kuwa waziri wa fedha basi mheshimiwa sana Raisi Mwinyi ajiandae ku-experience mivutano baina ya serikali yake na serikali ya muungano....na mivutano hiyo itachochewa na waziri Saada Mkuya Salum