Zanzibar: Rais Mwinyi afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na mthamini Mkuu wa Serikali Wizara ya Ardhi (26/08/2021)

Zanzibar: Rais Mwinyi afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na mthamini Mkuu wa Serikali Wizara ya Ardhi (26/08/2021)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi.

1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji

2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upimaji wa Ramani

3. Ndugu Khamisuu Hamid Mohamed ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Utumishi.

4. Ndugu Tahir Mussa Omari ameteuliwa kuwa mthamini Mkuu wa Serikali.

1629966473022.jpeg
 
Back
Top Bottom