Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Aug 26, 2021 #1 Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji 2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upimaji wa Ramani 3. Ndugu Khamisuu Hamid Mohamed ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Utumishi. 4. Ndugu Tahir Mussa Omari ameteuliwa kuwa mthamini Mkuu wa Serikali.
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji 2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upimaji wa Ramani 3. Ndugu Khamisuu Hamid Mohamed ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Utumishi. 4. Ndugu Tahir Mussa Omari ameteuliwa kuwa mthamini Mkuu wa Serikali.