Zanzibar: Rais Mwinyi azipiga marufuku Taasisi za Serikali kutoa matangazo kwa Vyombo vya Habari bila kulipia

Zanzibar: Rais Mwinyi azipiga marufuku Taasisi za Serikali kutoa matangazo kwa Vyombo vya Habari bila kulipia

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo.

Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.

TBCCM wanatangaza hata mikutano ya chama chao bure.
 
Back
Top Bottom