Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo.
Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.