Zanzibar: Ripoti ya CAG, Dr. Othman Abbas Ali abaini madudu, wizi na mauaji. Uongozi wa ZAECA wakalia kuti kavu. Rais Mwinyi akunjua makucha

Daah !! Zanzibar watu wameiba pesa ya umma balaa, hawa ndugu zangu ni 98% Waislamu ila wizi wa mabilioni umeniogopesha sana.
Wezi waliokubuu hapa tz na wanao penda kuunda mifumo endelevu ya wizi ni waislamu...huo ndiyo ukweli waislamu siyo wazalendo kabisa
 
Kioongozi Mkuu hastahili kulalamika kama vile kazi imemshinda kama anavyofanya Mwinyi. Ajifunze kwa wengine ...eg Mwendazake
 
wewe unadhani muislam anaweza akaapa kutetea katiba ya ki'kafir ?

hao wana majina ya kiislam ila ni makafir kama wewe tu tofauti yenu ni kidogo sana
Watu kama wewe HAMNA Dini kabisa, hakuna pepo ya mtu kama wewe.
 
Soo bad.. sijui viongozi wamepatwa na nini isee mambo yanayofanyika ni ya ovyooo mno.

Ni km ukiwa kiongozi na upo serikalini unakuwa juu ya vyoote so unafanya utakavyoo tu..
 
Hayo ndio madhara ya kuingia madarakani bila ridhaa ya umma, ukitaka kuchukua hatua unakuta unaotaka kuwachukulia hatua wote wanajua kuwa pia ww hauko madarakani kihalali.
Nakuunga mkono,ndo Mana mwendazake aligoma kutumia watu/rushwa
 
“Laiti kama kazi inayofanywa na CAG ingefanywa na vyombo vyengine vinavyohusika, matukio kama haya yasingejirudia”, alisema.
Sioni makucha yaliyokunjuliwa hapo zaidi ya kulalama labda ndio mtindo wa KiZenji 🙄
 
Miaka michache iliyopita kuna upande ambao kiongozi wao Bwana Mzalendo alikuwa anagombana na CAG, na spika pia wa Bunge la Wazalendo alikuwa anamchukia CAG.
Huenda huko nako habari zisizopendeza zikianza kuinyooshea kidole Ofisi Kuu ugomvi utahamia huko
 
Kwani CAG pia anashughulikia mauaji? kwa maana kichwa cha habari kimenishtua kidogo,mambo ya mauaji ni jeshi la polisi ndio hushughulikia na sio CAG
 
Zanzibar Ni taifa teule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…