Mjadala wa katiba mpya una mambo mengi yenye kufikirisha.
Muundo wa serikali tatu nao uangaliwe vizuri isije siku moja watu wakajuta!
Zanzibar wanapodai uwiano wa 50/50 kwenye madaraka na vyeo, kwanini hawadai 50/50
kuchangia kwenye majukumu na gharama?
Leo wanadai kuwa Mkuu wa majeshi atoke pia Zanzibar?!