Zanzibar uchafu ni utamaduni?

Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Nadhani kwa watu weusi uchafu ni jadi yenu. Mi simo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwa ufupi jamaa ni wavivu..,hata mazingira ya majumbani kwao hawasafishi.,hawafyeki nyasi...,ukitaka uhakikishe hichi pita barabara ya kwenda Nungwi, nyumba zipo barabarani kabisa ila mazingira machafu.
 
Usiseme zanzibar pekee,hata bongo ni hayo hayo.
 
Hayo mengine sikweli kwamba maji aliyorowekea nguo ndio Hayo anatomia kuoshea vyombo.
 
Mkuu, Kuna watu humu jf zikija mada za uislamu wanajifanyaga ni wajinga wa kutupwa
Naombea tu wasifikie level ya upumbavu
 
Hii ni moja Utamaduni wao na ukijaribu kuwasahihisha warakubeza wewe Chogo mshamba sana.
 
Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Hapana siyo utamaduni wao, walizowea machogo ndiyo walikuwa wasafishaji, sasa machogo wanaanza kupata ujuwaji wanajifanya wao mabosi hawataki ytena kazi za usafi.

Itabidi warudie kama wakati wa Sultani wawalete mabaniani wale wanaoitwa "topas" ndiyo kazi zao hizo.
 
Acha kuonea wivu watu kwenye mambo ya kijinga, na wewe kama unataka si uwe tu shoga? waowaji bado tupo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ