Engineer Mohamed
JF-Expert Member
- Jul 27, 2007
- 451
- 11
Zenj,
Tunewatakia mema ndugu zetu- ili mtotoe kimasomaso!
Stay Tunes please.
Mod OLE.......
nakuomba mkuu hii topic iache kwanza mpaka tujue matokeo then uipeleke kule kunakohusika.........TAFADHALI MKUU nakuomba.
hebu tuekeeni up-DATES.......manake nasikia rwanda amesharambwa mbili.
Zenj,
Tunewatakia mema ndugu zetu- ili mtotoe kimasomaso!
I hope hao Wanyarwanda watarudi KIGALI leo.
Engeneer kama jina lako, wewe pika then tuwekee mezani hapa.
Stay Tunes please.
Mod OLE.......
nakuomba mkuu hii topic iache kwanza mpaka tujue matokeo then uipeleke kule kunakohusika.........TAFADHALI MKUU nakuomba.
hebu tuekeeni up-DATES.......manake nasikia rwanda amesharambwa mbili.
Sasa hiyo LIVE iko wapi au mpira haujaanza?
Poleni sana "wanaume wa sketi"
Tatizo lenu mlitukana mamba kabla ya kuvuka mto. Haya sasa vukeni bahari mkale halua na kucheza mdumange.
shaka........
sisi tunakubali matokeo na kwa taarifa yako timu inapokelewa kwa shangwe na vigelegele.
sio nyinyi nasikia mkapiga basi la wachezaji mawe,chupa za maji etc,hebu kuweni WAUNGAWANA KAMA SISI VILE.
Sawa mkuu nimekupata. Haya yote yalikuwa katika kuzidisha upinzani wa kimichezo ila sie sote ni ndugu. Hongereni kwa kujitahidi. Polepole soka litakuwa.