#COVID19 Zanzibar: Waliochoma Sinovac watakiwa kupata J&J ili kwenda Hijja

Yaani mambo hayaeleweki kabisa. Na hawa viongozi ndio hewa kabisa.
 
Kwahiyo wakienda China pia inabidi wapige ya kichina na Urusi pia wapige ya Kirusi dah maisha yanaenda kasi sana. Na sisi Tz wazungu wakija nao wapige nyungu ndo waingie sasa
 
Wanacheza na afya za watu
 
yaani mimi hii inazidi kuniaminisha kua hii chanjo ina kitu cha ziada na cha muhimu sisi kukipata kwa maslahi ya watu flan ...
 
Wanaodhani kuwa kuna chanjo ya korona ambayo utachanja moja tu iishe, sahau. Utachoma na kuchoma na kuchoma. Canada ina watu milioni 37 lakini tayari Trudeau ameshaagiza chanjo milioni zaidi 130. Anayedhani hii ni chanjo, umeshapatwa. This whole business has nothing to do with covid 19.
 
Askofu Gwajima ni heri aende Zanzibar kutoa elimu!
Znz..hawana ubununu kama mrima.huko...wenye na nguvu lakini hawajiamini kabisa wenzao huku walisha zisoza hizo ...nongo za wazungu..

Wanasema huo ni mchanganyiko wa nguruwe na mbwa ..! ..

Najis...kampeni za kimya kimya zipo..
 
Kwani ile chanjo ya wazawa mhimbili imefikia wapi?
 
Ndio ujue hii ni biashara na hao Saudia wapo mikononi mwa mabeberu wanaondesha vita ya kibiashara dhidi ya China na Russia. Hivi huko Zenji wanatumia akili za kuazima au ni zao walizobarikiwa na Mola?
Ikiwasikiliza wanakwambia hiyo ya china ndiyo inaaminika although hawajui mchina hatakiwi kwenye world business competition.
 
Saudia anashindwaje kutengeneza chanjo Yake au ndo vichwa vibovu Kama sisi?
 
Saudia anashindwaje kutengeneza chanjo Yake au ndo vichwa vibovu Kama sisi?
Atengeneze chanjo wakat hela ipo?ndugu yangu ukishakua na hela hata akili ya kujiongeza hautokua nayo utakua unaweka oda tuu
 
Atengeneze chanjo wakat hela ipo?ndugu yangu ukishakua na hela hata akili ya kujiongeza hautokua nayo utakua unaweka oda tuu
Na hela ya kujiokotea toka kwa waumini wafia dini
 
Hyo ni vita ya kiuchumi tu.... Western bloc vs Eastern bloc. Maana hapa bara nawajua wengi tu walikimbilia zenji kuchomwa Sinovax na Sputnik maana zima efficacy kuliko hizi JJ (66%) so hapa ni kila nchi kutumia vaccine diplomacy kujenga ushawishi.

But haina maana JJ ndio nzuri ama Sinovax/Sputknik ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…