#COVID19 Zanzibar: Waliochoma Sinovac watakiwa kupata J&J ili kwenda Hijja

Nimekumbuka kauli za Magufuli alikuwa anapenda sana kusema kuhusu vita ya kiuchumi.
 
nimestuka nilipoona 'waliochoma', nikajua kimenuka
 
Nimekumbuka kauli za Magufuli alikuwa anapenda sana kusema kuhusu vita ya kiuchumi.
Yes vita ya kiuchumi ipo ila kwa East vs West sio kwa TZ vs US/EU. Mfano kama madini wanachimba wa-Canada then China anaweza leta hujuma ili wapewe wao tenda. Ila sio eti TZ ipambane na Magharibi, ilikua propaganda za JPM tu. Maana hatuna uwezo wa kupambana na mtu anayefadhili bajeti zetu.
 
Ni kweli kabisa, kipindi kile wakati Magu anasema kuhusu vita za kiuchumi kwenye masuala ya corona ilionekana ni vitu ambavyo haviwezekani ila ndio hivyo tunaviona.
 
Ndio ujue hii ni biashara na hao Saudia wapo mikononi mwa mabeberu wanaondesha vita ya kibiashara dhidi ya China na Russia. Hivi huko Zenji wanatumia akili za kuazima au ni zao walizobarikiwa na Mola?
Ni ngumu sana kuamini kila na chochote kutoka china, ubingwa wao wa propaganda itachukua mda mpaka dunia kukubali chanjo zake na sio nchi masikini Saud wanajiweza sio kama sio sisi wanyonge wa Covax. China washirikiane na mataifa kuchunguza nini chanzo cha Covid-19 baada ya hapo tutaamini na chanjo zake.
 
Ndio ujue hii ni biashara na hao Saudia wapo mikononi mwa mabeberu wanaondesha vita ya kibiashara dhidi ya China na Russia. Hivi huko Zenji wanatumia akili za kuazima au ni zao walizobarikiwa na Mola?
Solution ni kuwachanja chanjo ya Kichina halafu cheti unawapa cha J J. Hao Saudia watajua?
 
Kwahiyo Saudi si mwanachama wa UN inayosimamia WHO? 😂😂😂😂😂, iweje WHO waiamini sasa?
 
Solution ni kuwachanja chanjo ya Kichina halafu cheti unawapa cha J J. Hao Saudia watajua?
Hawajui, ila kila chanjo ina Serial number kama IMEI, mimi ikilazimu, naenda kununua cheti tu, ile chanjo tunaitupa, 😂😂
 
Uislamu imani tu inahusiana vp kuwa na akili au kutokuwa na akili?
Kuna Imani Za kijinga ambazo ukiwa Na akili huwezi kuamini kama vile kuamini jua Na mvua basi Simba anazaa
 
Kuna Imani Za kijinga ambazo ukiwa Na akili huwezi kuamini kama vile kuamini jua Na mvua basi Simba anazaa
Na tatizo la imani lilivyo kile ambacho wewe unakiamini na unaona kipo sawa mwengine anakuona mjinga wewe kukiamini hicho kitu.
 
Watu Wangu Wanaangamia Kwa Kukosa Maarifa. [emoji1374]
 
Kuyakwepa mabeberu ni kazi ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…