Zanzibar walitumia fedha ipi kabla ya Muungano mwaka 1964?

Zanzibar walitumia fedha ipi kabla ya Muungano mwaka 1964?

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
Leo nimetafakari sana kuhusu suala hilo. Wajuvi wa historia mnijuze hasa sarafu iliyotumiwa na ndugu zetu wazanzibar kabla ya Muungano na Tanganyika
 
yajuwe haya kuhusu Zanzibar kabla ya uhuru wa Tanganyika 1961
1/ilikuwa na treni
2/ilikuwa na umeme wa nguzo kama ilivyo leo wa TANESCO
3/ilikuwa na jengo lenye lift-hili ndio jengo la kwanza kuwa na lift Afrika hivyo likaitwa jumba la ajabu (baitul ajab)
4/TV ya rangi ambayo ni ya kwanza Afrika
5/barabara za lami
6/nchi ya kwanza kufanya land reclamation(eneo la mji mkongwe lote lilikuwa la bahari
etc
 
Back
Top Bottom