VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
Majibu yote chukua hapa.leonimetafakari sana kuhusu suala hilo. wajuvi wa historia mnijuze hasa sarafu iliyotumiwa na ndugu zetu wazanzibar kabla ya muungano na Tanganyika
safi sana!Majibu yote chukua hapa.
Zanzibar Paper Money, 1908-28 Issues
"ᴮᵉˡⁱᵉᵛᵉ ʸᵒᵘ ᶜᵃⁿ ᵃⁿᵈ ʸᵒᵘ'ʳᵉ ʰᵃˡᶠʷᵃʸ ᵗʰᵉʳᵉ"
Walitumia pesa sawa na Kenya, Tanganyika, Uganda: East African Shilling.leonimetafakari sana kuhusu suala hilo. wajuvi wa historia mnijuze hasa sarafu iliyotumiwa na ndugu zetu wazanzibar kabla ya muungano na Tanganyika