Yani ni upuuzi mtupu! Tunapenda sana kudeal na petty issuesHuyo waziri nae boya tu, utamlazimisha mtu avae ambavo hajazowea? Mtu kazoea kuvaa vipensi wewe utake avae madera inaingia akilini kweli hiyo?
Ukiwa roma ishi kama warumiHuyo waziri nae boya tu, utamlazimisha mtu avae ambavo hajazowea? Mtu kazoea kuvaa vipensi wewe utake avae madera inaingia akilini kweli hiyo?
SawaZanzibar wana utamaduni wa kiislamu, nadhan hili ni jambo la kutegemewa + kueleweka na si la kushtukiza
Mwaka 2010, nlitua pale Imam Ally khomein International airport nikashuhudia mdada mzungu wamekataa kumruhusu kisa hana mtandio.