Zanzibar wana Kizimkazi, Bukoba ina Nyamukazi, wahaya hatujawahi kuchelewa

Isije mkasema na bi kazimkazi ni mhaya
Asili ya jina kizimkazi ni Bukoba, kuna wahaya waliishi hapo, walikuwa viongozi wakubwa sana wakati wa utawala wa sultani na utawala wa waingereza, labda katika uzao, ikawa, halafu ikawa
 
Anzisheni tamasha kama la jirani zenu hapo Nyegenyege festival nyie mnaweza kuita katerero festival naamini mpaka watu wa mataifa mengine watakuja kama ilivyo Nyegenyege festival.
 
Tunahofia mafuriko yatatokea, njia za kupitisha maji ni chache
 
Back
Top Bottom