Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha.
Munyegere
Tunahofia mafuriko yatatokea, njia za kupitisha maji ni chacheAnzisheni tamasha kama la jirani zenu hapo Nyegenyege festival nyie mnaweza kuita katerero festival naamini mpaka watu wa mataifa mengine watakuja kama ilivyo Nyegenyege festival.