''Jongoo mpenda watu na watu hawampendiii, jongoo, jongoo'' Maneno haya nimeyanakiri katika wimbo wa Remmy Ongara zama zile kwenye bendi ya Ochestra Makassy. Sisi Watanganyika tumeisha kuwa jongoo. hatuna cha kung'ang'ania wala haqtuna cha kukosa Wazanzibar wakivunja Muungano!! wakithubutu kudai sarafu tuwaachie, wakidai mafuta yao tuwaache ila tuwatahadhalishe kuwa tutawakataa watakapo kuja kama wakimbizi. Hivi huyu karume ana nin huyu?? Sasa nimeelewa kwa nini Mkapa alipeleka wanajeshi huko wakati wa uchaguzi!!!!!!! hakutaka historia imhukumu kuwa Muungano ulivunjika wakati wa kipindi chake! Ni vyema JK pia aachane na mipango ya muafaka ili hawa jamaa waendelee kutoana macho wasahau mikakati ya kuvunja muungano. Let them keep on figthing so that they will keep coming on mainland to seek refugee and press and international attention. Their continued fight will make this union relevant to them. Kusema za ukweli hawa jamaa mimi wananibore sana.